Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA KUANZIA SAA 3 KAMILI LEO USIKU 12.04.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara.
Imewekwa: Apr 11, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2025
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Morogoro, Tanga, Dar es salaam, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tabora, Kigoma, Katavi, Lindi, Mtwara na Pwani(ikijumuisha Visiwa vya Mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Imewekwa: Apr 10, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 10.04.2025
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.
Imewekwa: Apr 09, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 09.04.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini Mahariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Apr 08, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 08.04.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Apr 07, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 07.04.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kigoma, Tabora na Katavi.
Imewekwa: Apr 06, 2025