Albamu ya Video
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 25-02-2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: Feb 25, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 24.02.2025
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: Feb 24, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 23/02/2025.
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Feb 23, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 21.02.2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 21.02.2025, unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.
Imewekwa: Feb 21, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 20.02.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI MWA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Feb 20, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 23.01.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA RUVUMA NA NJOMBE.
Imewekwa: Feb 19, 2025