Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 16.03.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA ARUSHA, MANYARA NA KILIMANJARO.
Imewekwa: Mar 16, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 15.03.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma na Morogoro.
Imewekwa: Mar 15, 2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 14-03-2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.
Imewekwa: Mar 14, 2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 13-03-2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 13.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Mar 13, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 12.03.2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Nyanda za juu kaskazini mashariki (Mikoa ya Arusha Manyara na Kilimanjaro) na Pwani ya kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara).
Imewekwa: Mar 12, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 11.03.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA MTWARA, LINDI, ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA.
Imewekwa: Mar 11, 2025