"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 22-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 22.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.

Imewekwa: Mar 22, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 21-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 21.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.

Imewekwa: Mar 21, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 20.03.2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kigoma, Katavi, Tabora na Rukwa.

Imewekwa: Mar 20, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 19.03.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA RUKWA, KIGOMA, KATAVI, TABORA, BUKOBA, MUSOMA, GEITA, MWANZA, SHINYANGA NA SIMIYU.

Imewekwa: Mar 19, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 18-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 18.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Mar 18, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 17-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Mar 17, 2025