Albamu ya Video
UPEPO MKALI
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: Jun 03, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.
Imewekwa: Jun 02, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.
Imewekwa: Jun 01, 2025
VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA KUSINI WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI NA MTWARA).
Imewekwa: May 31, 2025
UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: May 30, 2025

Imewekwa: May 29, 2025