"

Albamu ya Video

VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jun 21, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika Mikoa ya Kagera, Mara, Geita, Mwanza na Simiyu.

Imewekwa: Jun 20, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika Mikoa ya Kagera, Mara, Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu.

Imewekwa: Jun 19, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 18.06.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Jun 18, 2025

VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jun 17, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikiamita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoaya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja naPemba).

Imewekwa: Jun 16, 2025