"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 28/06/2025.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini na kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.

Imewekwa: Jun 29, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 26.06.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote

Imewekwa: Jun 26, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Imewekwa: Jun 25, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Imewekwa: Jun 24, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua inatarajiwa katika Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza.

Imewekwa: Jun 23, 2025

VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Imewekwa: Jun 22, 2025