"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 12/04/2025.

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA KAGERA, GEITA, MWANZA, SHINYANGA, MARA NA SIMIYU.

Imewekwa: Apr 11, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KUANZIA SAA 3 KAMILI LEO USIKU 12.04.2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara.

Imewekwa: Apr 11, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 11.04.2025

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Morogoro, Tanga, Dar es salaam, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tabora, Kigoma, Katavi, Lindi, Mtwara na Pwani(ikijumuisha Visiwa vya Mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Apr 10, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 10.04.2025

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Katavi, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Mara.

Imewekwa: Apr 09, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 09.04.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini Mahariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Apr 08, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 08.04.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Apr 07, 2025