"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa,; kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Imewekwa: Aug 15, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa,; kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.

Imewekwa: Aug 14, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA

UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA

Imewekwa: Aug 13, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Utabiri wa hali ya hewa

Imewekwa: Aug 12, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Imewekwa: Aug 11, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Imewekwa: Aug 10, 2025