Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 03.04.2025
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua katika mikoa ya Morogoro, Lindi, Mtwara, Tanga Dar es salaam, Pwani(ikijumuisha Visiwa vya Mafia} pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Imewekwa: Apr 03, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 02.04.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.
Imewekwa: Apr 02, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:01/04/2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA LINDI, MTWARA, MOROGORO, DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.
Imewekwa: Apr 01, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:31/03/2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro Ruvuma, Lindi na Mtwara.
Imewekwa: Mar 31, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:31/03/2025
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro Ruvuma, Lindi na Mtwara.
Imewekwa: Mar 31, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi km 20 kwa saa kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Imewekwa: Mar 28, 2025