Albamu ya Video
UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 21.07.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.
Imewekwa: Jul 21, 2025
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo ukiletwa na mchambuzi Ramadhani Omary
Imewekwa: Jul 20, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Jul 19, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA
VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO
Imewekwa: Jul 18, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Jul 17, 2025
UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Imewekwa: Jul 16, 2025
