"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kusini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara).

Imewekwa: Jul 02, 2025

VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALIUNAOFIKIA KM 40 KWA SAA

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALIUNAOFIKIA KM 40 KWA SAA VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KUSINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI NA MTWARA).

Imewekwa: Jul 01, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: Jun 30, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), ukanda wa ziwa Viktoria (mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara) na ukanda wa kusini mwa ziwa Tanganyika (mikoa ya Katavi na Rukwa).

Imewekwa: Jun 29, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 28/06/2025.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini na kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.

Imewekwa: Jun 29, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 26.06.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote

Imewekwa: Jun 26, 2025