Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 23.01.2025
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA RUVUMA NA NJOMBE.
Imewekwa: Feb 19, 2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 18-02-2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 18.02.2025, unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.
Imewekwa: Feb 18, 2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 17-02-2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 17.02.2025, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.
Imewekwa: Feb 17, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 16.02.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani yote; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Imewekwa: Feb 16, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA 15.02.2025
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.
Imewekwa: Feb 15, 2025
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 14-02-2025
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 14.02.2025, unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.
Imewekwa: Feb 14, 2025