"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:05/04/2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Apr 05, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 04.04.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MKOA WA TANGA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA

Imewekwa: Apr 04, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 03.04.2025

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua katika mikoa ya Morogoro, Lindi, Mtwara, Tanga Dar es salaam, Pwani(ikijumuisha Visiwa vya Mafia} pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Apr 03, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 02.04.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Imewekwa: Apr 02, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:01/04/2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA LINDI, MTWARA, MOROGORO, DAR ES SALAAM, TANGA, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Imewekwa: Apr 01, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE:31/03/2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro Ruvuma, Lindi na Mtwara.

Imewekwa: Mar 31, 2025