"

Albamu ya Video

utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo.

Upepo wa pwani unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km20 kwa saa kwa pwani yote. Kutoka Mashariki kwa pwani ya kaskazini na kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Feb 08, 2025

utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote: kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.

Imewekwa: Feb 08, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo

Upepo wa pwani unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya kilometa 20 kwa saa kwa Pwani yote. Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Feb 07, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua inatarajiwa katika mikoa ya Rukwa, Iringa, Ruvuma, Songwe, Njombe and Mbeya pamoja na kusini mwa mkoa wa Morogoro.

Imewekwa: Feb 07, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 06-02-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 06.02.2025, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.

Imewekwa: Feb 06, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 05-02-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 05.02.2025, unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.

Imewekwa: Feb 05, 2025