Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.
Imewekwa: Jun 25, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.
Imewekwa: Jun 24, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua inatarajiwa katika Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza.
Imewekwa: Jun 23, 2025
VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.
Imewekwa: Jun 22, 2025
VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Jun 21, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika Mikoa ya Kagera, Mara, Geita, Mwanza na Simiyu.
Imewekwa: Jun 20, 2025
