Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAADHI YA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Sep 12, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Imewekwa: Sep 10, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Imewekwa: Sep 09, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.
Imewekwa: Sep 08, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.
Imewekwa: Sep 07, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Imewekwa: Sep 06, 2025
