"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini kwa Pwani ya kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Imewekwa: Jul 24, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 22.07.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI MWA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jul 22, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 21.07.2025

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Imewekwa: Jul 21, 2025

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo ukiletwa na mchambuzi Ramadhani Omary

Imewekwa: Jul 20, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Jul 19, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA TANZANIA

VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO

Imewekwa: Jul 18, 2025