Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.
Imewekwa: Oct 06, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.
Imewekwa: Oct 05, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi hadi Makubwa.
Imewekwa: Oct 04, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote. Kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi hadi Makubwa.
Imewekwa: Oct 03, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.
Imewekwa: Oct 02, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo
Imewekwa: Oct 01, 2025
