"

Albamu ya Video

HALI YA HEWA TANZANIA

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba)

Imewekwa: Jun 05, 2025

VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kusini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara).

Imewekwa: Jun 04, 2025

UPEPO MKALI

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba).

Imewekwa: Jun 03, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.

Imewekwa: Jun 02, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa kiasi.

Imewekwa: Jun 01, 2025

VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KILOMITA 40 KWA SAA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA KUSINI WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI NA MTWARA).

Imewekwa: May 31, 2025