Albamu ya Video
VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Jun 17, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikiamita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoaya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja naPemba).
Imewekwa: Jun 16, 2025
HALI YA HEWA TANZANIA
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba) na ukanda wa ziwa Viktoria (mikoa ya Kagera, Mwanza, Geita, Mara na Simiyu).
Imewekwa: Jun 15, 2025

Imewekwa: Jun 14, 2025
UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA
TAHADHARI: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOZIDI KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
Imewekwa: Jun 13, 2025

Imewekwa: Jun 12, 2025