"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 13-03-2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 13.03.2025, unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane.

Imewekwa: Mar 13, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 12.03.2025

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Nyanda za juu kaskazini mashariki (Mikoa ya Arusha Manyara na Kilimanjaro) na Pwani ya kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara).

Imewekwa: Mar 12, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 11.03.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA MTWARA, LINDI, ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA.

Imewekwa: Mar 11, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 10.03.2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 10.03.2025 unaletwa kwenu na Mchambuzi wa Hali ya Hewa; Mohamed Hamisi.

Imewekwa: Mar 11, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 09-03-2025

Utabiri wa halinya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Mar 09, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO 08.03.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA TABORA, KIGOMA, KATAVI, SINGIDA, DODOMA, SIMIYU, MARA, ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA.

Imewekwa: Mar 08, 2025