"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 30/12/2024.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Dec 30, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 29/12/2024.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Dec 29, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 29/12/2024.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 30 kwa saa kwa Pwani yote. Kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Imewekwa: Dec 29, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 28.12.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 28.12.2024, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: Dec 28, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 27.12.2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 27.12.2024, unawasilisjhwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.

Imewekwa: Dec 27, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 26/12/2024.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani yote.

Imewekwa: Dec 26, 2024