"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 18/12/2024.

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA NYANDA ZA JUU KASKAZINI MASHARIKI (MIKOA YA ARUSHA, MANYARA NA KILIMANJARO) NA UKANDA WA ZIWA VICTORIA (MIKOA YA MARA NA SIMIYU).

Imewekwa: Dec 18, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 17/12/2024.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya Km 20 kwa saakwa Pwani yote.

Imewekwa: Dec 17, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 16-12-2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 16.12.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Dec 16, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo

Utabiri wa hali ya hewa

Imewekwa: Dec 15, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 14/12/2024.

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA RUVUMA NA MTWARA. ANGALIZO: VIPINDI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA UKANDA WA PWANI YA YOTE YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

Imewekwa: Dec 14, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 13.12.2024

Tunatarajia kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua katika mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Shinyanga na Simiyu.

Imewekwa: Dec 13, 2024