"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 01-12-2024

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya Nyanda za juu Kusini Magharibi (mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe), Ukanda wa Pwani ya Kaskazini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), Nyanda za juu Kaskazini mashariki (mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara), Kanda ya Kati (mikoa ya Dodoma na Singida).

Imewekwa: Dec 02, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 30-11-2023p4

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 30.11.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Nov 30, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 29-11-2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 29.11.2024 unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Nov 29, 2024

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 28/11/2024.

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA UKANDA WA ZIWA VICTORIA (MIKOA YA MARA NA SIMIYU).

Imewekwa: Nov 28, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA UKANDA WA ZIWA VICTORIA (MIKOA YA MWANZA, MARA NA SIMIYU.

Imewekwa: Nov 27, 2024

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 26-11-2024

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 26.11.2024, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Nov 26, 2024