TMA YAWAKUTANISHA WAHARIRI KUJADILI MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA NOVEMBA 2026 HADI APRILI 2027 NA HALI YA EL NIÑO
TMA YAWAKUTANISHA WAHARIRI KUJADILI MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA NOVEMBA 2026 HADI APRILI 2027 NA HALI YA EL NIÑO
TMA yatowa Tuzo kwa wanahabari Bora wa habari za Hali ya Hewa 2026 nchini. Tuzo hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Mhe. Jaji Mshibe Ali Bakari katika hafla fupi kwenye warsha ya wanahabari ya kujadili utabiri wa mvua za msimu za Novemba 2026 hadi Aprili 2027 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya Teknolojia Dar Es Salaama (DIT), jijini Dar es Salaam Tarehe 22 Oktoba 2026.

