Habari

Imewekwa: Oct, 03 2023

UFAFANUZI WA TAARIFA YA TAHADHARI INAYOSAMBAA KUHUSU UWEPO WA PACIFIC EL NINO NA ATLANTIC EL NINO

UFAFANUZI WA TAARIFA YA TAHADHARI INAYOSAMBAA KUHUSU UWEPO WA PACIFIC EL NINO NA ATLANTIC EL NINO

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa ya tahadhari inayosambaa kuhusu uwepo wa Pacific Elnino na Atlantic El nino hatari sana na kuitaka jamii kununua jiki, water guard kwa ajili ya kuweka kwenye maji ya kunywa pamoja na masuala mengine yaliyoelezwa kwenye ujumbe huo, Aidha, ujumbe huo umekuwa ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii na hivyo kuleta taharuki kwa wananchi.