Habari

Imewekwa: Mar, 19 2023

UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

Mamlaka imefanikiwa kununua kompyuta ya kisasa yenye uwezo mkubwa wa kuchakata data nyingi za hali ya hewa kwa muda mfupi (Computer Cluster) ambayo itaongeza uwezo wa Mamlaka wa kutoa utabiri wa hali ya hewa, hususan utabiri wa maeneo madogo madogo.

#MiwilinaSamia