Habari

Imewekwa: Mar, 19 2023

UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

Mamlaka imenunua vifaa vya kuandaa utabiri wa hali ya hewa, mitambo nane (8) ya kutoa huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga, mitambo 13 ya kupima hali ya hewa mahsusi kwa sekta ya kilimo, vifaa 10 vya kupima upepo na vifaa sitini (60) vinavyojiendesha vyenyewe kwa ajili ya kupima kiwango cha mvua.


#MiwilinaSamia