Habari
Imewekwa:
Mar, 19 2023
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

Mamlaka imenunua seti tano (5) za vifaa vya utambuzi wa matukio ya radi (Lighting detectors) ambavyo vimetfungwa katika maeneo ya Musoma, Mwanza, Bukoba, Tabora na Kibondo mkoani Kigoma.
#MiwilinaSamia