Habari

Imewekwa: Sep, 01 2023

SALAMU ZA PONGEZI

SALAMU ZA PONGEZI

Salamu za pongezi kwa viongozi wote wa Wizara ya Uchukuzi kwa kuteuliwa na kuapishwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan; Viongozi hao ni Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (MB), Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Mwakiposa Kihenzile (MB), Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof.Godius Kahyarara na naibu Katibu Mkuu, Dkt. Ally Possi.