Habari
Imewekwa:
Aug, 08 2024
NAIBU WAZIRI UCHUKUZI ATEMBELEA BANDA LA TMA
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile (MB) ametembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) katika kilele cha maonesho ya NaneNane 2024, Nzuguni, Dodoma.