Habari

Imewekwa: Jan, 17 2024

Mkutano wa 60 wa IPCC (IPCC-60)

Mkutano wa 60 wa IPCC (IPCC-60)

Mojawapo ya majukumu ya TMA ni kuwakilisha Tanzania Kikanda na Kimataifa katika Masuala ya Hali ya Hewa. Pichani ni Dkt. Ladislaus Chang'a, Kaimu Mkurugenzi Mkuu (TMA) tna Makamu wa Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi -IPCC (IPCC-Vice Chair) katika Mkutano wa 60 wa IPCC (IPCC-60), Instanbul, Uturuki, tarehe 16-19 Januari 2024.