Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

ISO 9001:2015 Imethibitishwa Kutoa Huduma za Hali ya Hewa kwenye Usafiri wa Anga

UTEUZI

News Image

UTEUZI

Dkt. Ladislaus Benedict Chan’ga ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Chan’ga alikuwa akikaimu nafasi hiyo. Hongera Dkt. Chang’a