Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 31.01.2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Morogoro, Lindi, Mtwara, Iringa,Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma
Imewekwa: Jan 31, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 29.01.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Magreth Massawe.
Imewekwa: Jan 29, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 28.01.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, 28.01.2024 unawasilishwa na mchambuzi Ramadhani Omary.
Imewekwa: Jan 28, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 27.01.2024
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA MIKOA YA MTWARA, LINDI, RUVUMA, SONGWE, MBEYA, IRINGA, NJOMBE NA MOROGORO.
Imewekwa: Jan 27, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 27-01-2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Morogoro, Lindi, Mtwara, Iringa, Njombe na Ruvuma.
Imewekwa: Jan 27, 2024
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 25-01-2024
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo, na mchambuzi Godfrey Kazinja
Imewekwa: Jan 25, 2024