Albamu ya Video
UPDATES OF TROPICAL CYCLONE JOBO
MWENENDO WA TROPICAL CYCLONE JOBO
Imewekwa: Apr 23, 2021
TAARIFA KWA UMMA - KIMBUNGA "JOBO" KATIKA BAHARI YA HINDI
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.
Imewekwa: Apr 22, 2021
UTABIRI WA HALI YA HEWA 21 04 2021
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo tarehe 21-04-2021 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Apr 21, 2021
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 20-04-2021
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 20-04-2021 unaletwa na mchambuzi Tunza Sanane.
Imewekwa: Apr 20, 2021
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 19-04-2021
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 19-04-2021 unaletwa na mchambuzi Tunza Saanane.
Imewekwa: Apr 19, 2021
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 18/04/2021.
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia 3:00 usiku 18-04-2021 unaowasilishwa na mchambuzi Akili Mwangaza
Imewekwa: Apr 18, 2021
