Albamu ya Video
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 27-04-2021
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 27-04-2021 unaletwa na mchambuzi Tunza Saanane.
Imewekwa: Apr 27, 2021
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 26/04/2021.
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 26/04/2021 umeletwa na mchambuzi Thereza Ngassa.
Imewekwa: Apr 26, 2021
MWENENDO WA KILICHOKUWA KIMBUNGA “JOBO”
Mwenendo wa kimbunga hafifu “Jobo” unaonesha kuwa katika kipindi cha saa sita zilizopita “Jobo” imepoteza nguvu yake wakati kikiingia nchi kavu kusini mwa mkoa wa Pwani na Dar Es Salaam usiku wa tarehe 24/04/2021. Hali hii ilisababishwa na kuendelea kuimarika kwa upepo kinzani katika mwelekeo wa kimbunga hicho.
Imewekwa: Apr 25, 2021
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 25/04/2021.
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo 25/04/2021 umeletwa na mchambuzi Happiness Mpunza
Imewekwa: Apr 25, 2021
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 24-04-2021
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo 24/04/2021 umeletwa na mchambuzi Happiness Mpunza.
Imewekwa: Apr 24, 2021
MWENENDO WA KIMBUNGA JOBO
Kimbunga “Jobo” kwa sasa kinasafiri kwa kasi ya kilometa 20 kwa saa baharini ambayo ni kasi kubwa kwa mwenendo wa vimbunga. Kutokana na kasi hiyo kubwa, kisiwa cha Mafia na maeneo jirani yanatarajiwa kuanza kupata mvua kubwa mapema zaidi leo jioni tarehe 24/04/2021.
Imewekwa: Apr 24, 2021
