"

Albamu ya Video

MWENENDO WA KIMBUNGA JOBO

Kimbunga “Jobo” kwa sasa kinasafiri kwa kasi ya kilometa 20 kwa saa baharini ambayo ni kasi kubwa kwa mwenendo wa vimbunga. Kutokana na kasi hiyo kubwa, kisiwa cha Mafia na maeneo jirani yanatarajiwa kuanza kupata mvua kubwa mapema zaidi leo jioni tarehe 24/04/2021.

Imewekwa: Apr 24, 2021

UPDATES OF TROPICAL CYCLONE JOBO

MWENENDO WA TROPICAL CYCLONE JOBO

Imewekwa: Apr 23, 2021

TAARIFA KWA UMMA - KIMBUNGA "JOBO" KATIKA BAHARI YA HINDI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.

Imewekwa: Apr 22, 2021

UTABIRI WA HALI YA HEWA 21 04 2021

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo tarehe 21-04-2021 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.

Imewekwa: Apr 21, 2021

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 20-04-2021

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 20-04-2021 unaletwa na mchambuzi Tunza Sanane.

Imewekwa: Apr 20, 2021

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 19-04-2021

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 19-04-2021 unaletwa na mchambuzi Tunza Saanane.

Imewekwa: Apr 19, 2021