"

Albamu ya Video

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 30/01/2025.

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kutoka Kaskazini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini Magharibi kwa kasi ya km 20 kwa kwa Pwani ya Kusini

Imewekwa: Jan 30, 2025

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 30-01-2025

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache ya mikoa ya magharibi mwa nchi, nyanda za juu kusini Magharibi, mkoa wa Morogoro pamoja na maeneo yanayozunguka ukanda wa ziwa viktoria.

HALI YA HEWA TANZANIA 29.01.2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 29.01.2025, unawasilishwa na mchambuzi Desdery Moses.

Imewekwa: Jan 29, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 28.01.2025

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku 28.01.2025, unawasilishwa na mchambuzi Mariam Phares.

Imewekwa: Jan 28, 2025

HALI YA HEWA TANZANIA 26.01.2025

ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA NYANDA ZA JUU KASKAZINI MASHARIKI (MAENEO YA MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA).

Imewekwa: Jan 26, 2025