"

Albamu ya Video

MWENENDO WA KILICHOKUWA KIMBUNGA “JOBO”

Mwenendo wa kimbunga hafifu “Jobo” unaonesha kuwa katika kipindi cha saa sita zilizopita “Jobo” imepoteza nguvu yake wakati kikiingia nchi kavu kusini mwa mkoa wa Pwani na Dar Es Salaam usiku wa tarehe 24/04/2021. Hali hii ilisababishwa na kuendelea kuimarika kwa upepo kinzani katika mwelekeo wa kimbunga hicho.

Imewekwa: Apr 25, 2021

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 25/04/2021.

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo 25/04/2021 umeletwa na mchambuzi Happiness Mpunza

Imewekwa: Apr 25, 2021

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 24-04-2021

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo 24/04/2021 umeletwa na mchambuzi Happiness Mpunza.

Imewekwa: Apr 24, 2021

MWENENDO WA KIMBUNGA JOBO

Kimbunga “Jobo” kwa sasa kinasafiri kwa kasi ya kilometa 20 kwa saa baharini ambayo ni kasi kubwa kwa mwenendo wa vimbunga. Kutokana na kasi hiyo kubwa, kisiwa cha Mafia na maeneo jirani yanatarajiwa kuanza kupata mvua kubwa mapema zaidi leo jioni tarehe 24/04/2021.

Imewekwa: Apr 24, 2021

UPDATES OF TROPICAL CYCLONE JOBO

MWENENDO WA TROPICAL CYCLONE JOBO

Imewekwa: Apr 23, 2021

TAARIFA KWA UMMA - KIMBUNGA "JOBO" KATIKA BAHARI YA HINDI

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.

Imewekwa: Apr 22, 2021