"

Albamu ya Video

Utabiri wa Hali ya Hewa 20-03-2023

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mara, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Singida, Arusha, Manyara, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Rukwa, Dar es Salaam, Pwani (ikihusisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Imewekwa: Mar 20, 2023

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 20-03-2023

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Imewekwa: Mar 20, 2023

HALI YA HEWA TANZANIA 19.03.2023

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo mengi ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikihusisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara.

Imewekwa: Mar 19, 2023

HALI YA HEWA TANZANIA 18.03.2023

Mvua na ngurumo kwa Ukanda wa pwani.

Imewekwa: Mar 18, 2023

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 17-03-2023

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo

Imewekwa: Mar 17, 2023

Utabiri wa hali ya hewa 16 03 2023

Vipindi vya mvua na ngurumo vinatarajiwa kuendelea katika maeneo machache

Imewekwa: Mar 16, 2023