"
Albamu ya Video
HALI YA HEWA TANZANIA 17.06.2023
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Jun 17, 2023
HALI YA HEWA 16.06.2023
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: Jun 16, 2023
HALI YA HEWA TANZANIA 15.06.2023
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.
Imewekwa: Jun 15, 2023
HALI YA HEWA TANZANIA 14.06.2023
Mikoa ya Mara na Mwanza yanatarajiwa mvua na ngurumo.
Imewekwa: Jun 14, 2023
Utabiri wa Hali ya Hewa 13-06-2023
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay.
Imewekwa: Jun 13, 2023
HALI YA HEWA 12.06.2023
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Godfrey Kazinja.
Imewekwa: Jun 12, 2023