Albamu ya Video
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo 22-01-2024
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache ya Mikoa ya Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Morogoro, Lindi, Mtwara, Njombe na Ruvuma. ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Imewekwa: Jan 22, 2024

HALI YA HEWA TANZANIA 21.01.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Mohamed Hamis.
Imewekwa: Jan 21, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 20.01.2024
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku, unawasilishwa na mchambuzi Tabu Kwedilima.
Imewekwa: Jan 20, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 09.12.2023
UTABIRI WA HALI YA HEWA
Imewekwa: Jan 19, 2024
HALI YA HEWA TANZANIA 18.01.2024
UTABIRI WA HALI YA HEWA
Imewekwa: Jan 19, 2024