Ushauri Pakua
SHORT PERIODS OF STRONG WINDS REACHING 40KM/HR AND LARGE WAVES REACHING 2M IS ISSUED OVER SOME AREAS
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YA UKANDA WOTE WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).