Tahadhari Pakua
MVUA KUBWA, UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA.
TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua....
