Ushauri Pakua

UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA

ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa ziwa Viktoria (mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara na Simiyu).