ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya na Njombe.