Machapisho
Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Rukwa na Wilaya zake
PakuaKwa ujumla mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Rukwa.
Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu ya Novemba, 2022.
Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022.
Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika maeneo mengi katika msimu huu.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua