Machapisho
Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Njombe na Wilaya zake
PakuaKwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe.
Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Novemba, 2021.
Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022.
Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua