Machapisho

Mwelekeo wa mvua za Msimu (Nov, 2021 - Aprili, 2022) kwa mkoa wa Iringa na Wilaya zake

Pakua

Kwa ujumla mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Iringa.

Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Novemba, 2021.

Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022.

Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua